Ufafanuzi wa nyinyoro katika Kiswahili

nyinyoro

nomino

  • 1

    mmea wenye shina kama la kitunguu na una maua mekundu.

Matamshi

nyinyoro

/ɲiɲɔrɔ/