Ufafanuzi wa nyofoa katika Kiswahili

nyofoa

kitenzi elekezi

  • 1

    kata kwa mkono kipande kidogo cha kitu laini k.v. mkate au ugali na kuacha shimo.

Matamshi

nyofoa

/ɲɔfɔwa/