Ufafanuzi wa nyofu katika Kiswahili

nyofu

kivumishi

  • 1

    -enye kunyoka.

  • 2

    -enye kuongoka; -enye uzuri.

    ‘Ana tabia nyofu’

Matamshi

nyofu

/ɲɔfu/