Ufafanuzi msingi wa nyoka katika Kiswahili

: nyoka1nyoka2

nyoka1

nominoPlural nyoka

  • 1

    mnyama mrefu na mwembamba mwenye magamba na asiye na miguu, anayetambaa na hutaga mayai, agh. huwa na sumu, hula ndege, wadudu na wanyama wadogowadogo.

    mtambaachi

Matamshi

nyoka

/ɲɔka/

Ufafanuzi msingi wa nyoka katika Kiswahili

: nyoka1nyoka2

nyoka2

nominoPlural nyoka

  • 1

    chango za tumboni.

Matamshi

nyoka

/ɲɔka/