Ufafanuzi wa nyokoa katika Kiswahili

nyokoa

kitenzi elekezi~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    chukua kitu kwa uchache kwa kutumia vidole.

    nyafua, nyofoa

Matamshi

nyokoa

/ɲɔkɔwa/