Ufafanuzi msingi wa nyonga katika Kiswahili

: nyonga1nyonga2

nyonga1

nominoPlural nyonga

 • 1

  sehemu ya mwili iliyo baina ya paja na kiuno.

Matamshi

nyonga

/ɲɔnga/

Ufafanuzi msingi wa nyonga katika Kiswahili

: nyonga1nyonga2

nyonga2

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  ua kwa kupopotoa shingo.

 • 2

  ua kwa kutia kitanzi.

 • 3

  popotoa na sokota kwa kitu k.v. mkono.

  sombogoa, babadua, songoa, songa, songonyoa

Matamshi

nyonga

/ɲɔnga/