Ufafanuzi msingi wa nyongea katika Kiswahili

: nyongea1nyongea2

nyongea1

nominoPlural nyongea

  • 1

    ugonjwa unaowashika sanasana watoto, ambao hufanya mifupa ya miguu kuwa myororo.

Matamshi

nyongea

/ɲɔngɛja/

Ufafanuzi msingi wa nyongea katika Kiswahili

: nyongea1nyongea2

nyongea2

kitenzi sielekezi~ka, ~sha

  • 1

    jifanya kuwa dhalili; jiona dhaifu; jikunja kwa hofu au unyonge.

Matamshi

nyongea

/ɲɔngɛja/