Ufafanuzi wa nyonya katika Kiswahili

nyonya

kitenzi elekezi

  • 1

    vuta kitu kiowevu kwa mdomo au kwa kutumia mrija.

    amwa, sonda, fyonza

  • 2

    ishi kwa kutegemea mwingine bila ya kufanya kazi.

Matamshi

nyonya

/ɲɔɲa/