Ufafanuzi wa nyonyesha katika Kiswahili

nyonyesha

transitive verb

  • 1

    -pa mtoto ziwa ili anyonye.

Matamshi

nyonyesha

/ɲɔɲɛ∫a/