Ufafanuzi wa nyooka katika Kiswahili

nyooka

kitenzi sielekezi~ea, ~eka

  • 1

    kuwa bila ya mikunjo au mapindo.

  • 2

    kuwa na tabia nzuri.

Matamshi

nyooka

/ɲɔ:ka/