Ufafanuzi wa nyuki katika Kiswahili

nyuki

nominoPlural nyuki

  • 1

    mdudu mwenye mbawa nne anayeweza kuuma, anayeishi katika makundi, agh. kwenye mzinga na hutengeneza asali na nta.

Matamshi

nyuki

/ɲuki/