Ufafanuzi wa nyukua katika Kiswahili

nyukua

kitenzi elekezi

  • 1

    finya kwa kucha au ncha za vidole.

Matamshi

nyukua

/…≤ukuwa/