Ufafanuzi msingi wa nyumba katika Kiswahili

: nyumba1nyumba2

nyumba1

nominoPlural nyumba

 • 1

  jengo ambalo limekusudiwa kukaliwa na watu.

  methali ‘Nyumba njema si mlango fungua uingie’
  methali ‘Nyumba usiyoilala huijui ila yake’
  methali ‘Mie nyumba ya udongo sistahimili vishindo’
  methali ‘Nyumba yangu ni joya, atakaye huingia’
  manzili, auta, baiti, makani

Ufafanuzi msingi wa nyumba katika Kiswahili

: nyumba1nyumba2

nyumba2

nominoPlural nyumba

Matamshi

nyumba

/…≤umba/