Ufafanuzi wa nyumbua katika Kiswahili

nyumbua

kitenzi elekezi

  • 1

    vuta kitu kinachonyumbuka na kuwa kirefu k.v. mpira.

Matamshi

nyumbua

/…≤umbuwa/