Ufafanuzi msingi wa nyungu katika Kiswahili

: nyungu1nyungu2

nyungu1

nomino

  • 1

    chombo cha udongo kinachotumika kwa kupikia.

Matamshi

nyungu

/…≤ungu/

Ufafanuzi msingi wa nyungu katika Kiswahili

: nyungu1nyungu2

nyungu2

nomino

  • 1

    utaratibu wa kuhesabia siku katika mwezi wa Ramadhani.

    ‘Nyungu mosi, nyungu pili, n.k.’

Matamshi

nyungu

/…≤ungu/