Ufafanuzi wa nyuzisauti katika Kiswahili

nyuzisauti

nomino

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    misuli iliyo katika kisanduku cha sauti ambayo hewa hupita katikati yake, hewa hiyo inapozigusa nyuzi hizo hurindima na kutoa sauti.

Matamshi

nyuzisauti

/…≤uzisawuti/