Ufafanuzi wa nywa katika Kiswahili

nywa

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ewa

  • 1

    tia kitu cha majimaji katika mdomo kwa makusudi ya kukimeza.

    sharabu

Matamshi

nywa

/ɲwa/