Ufafanuzi wa nywea katika Kiswahili
nywea
kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha
- 1
kunjamana na kauka kwa kukosa maji.
sinyaa - 2
jikunyata kwa hofu au wasiwasi.
- 3
kuwa katika hali ya kukosa nguvu.
‘Mche umenywea’‘Fulani amenywea’dhii, dhoofu, fifia - 4pwea, pojaa