Ufafanuzi wa nywesha katika Kiswahili

nywesha

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu au mnyama kinywaji ili anywe.

Matamshi

nywesha

/ɲwɛ∫a/