Ufafanuzi wa nzio katika Kiswahili

nzio

nomino

  • 1

    mtungi mkubwa wa udongo unaofanana na balasi.

  • 2

    mtungi

Matamshi

nzio

/nziwɔ/