Ufafanuzi wa ofisaugani katika Kiswahili

ofisaugani, afisaugani

nominoPlural mofisaugani

  • 1

    ofisa mwenezi wa taarifa au maarifa fulani uwandani.

Asili

Kng

Matamshi

ofisaugani

/ɔfisawugani/