Ufafanuzi wa oga katika Kiswahili

oga, koga

kitenzi sielekezi

  • 1

    ondoa uchafu mwilini kwa kutumia maji.

Matamshi

oga

/ɔga/