Ufafanuzi wa ogesha katika Kiswahili

ogesha

kitenzi elekezi

  • 1

    safisha mwili wa mtu au mnyama kwa maji.

Matamshi

ogesha

/ɔgɛ∫a/