Ufafanuzi wa oili katika Kiswahili

oili

nominoPlural oili

  • 1

    mafuta yanayotumika kulainisha mitambo k.v. injini za magari.

Asili

Kng

Matamshi

oili

/ɔIli/