Ufafanuzi wa okestra katika Kiswahili

okestra

nominoPlural okestra

Muziki
  • 1

    Muziki
    kundi la watu wapigao muziki pamoja wakitumia ala mbalimbali za muziki.

Asili

Kng

Matamshi

okestra

/ɔkɛstra/