Ufafanuzi wa okoa katika Kiswahili

okoa

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa

  • 1

    toa katika hatari.

    salimisha, nusuru, ponya, vua, afu

Matamshi

okoa

/ɔkɔwa/