Ufafanuzi wa okota katika Kiswahili

okota

kitenzi elekezi

  • 1

    inua au chukua kitu kilichoanguka au kilicho chini.

  • 2

    pata kitu kilichokuwa kimepotea.

Matamshi

okota

/ɔkɔta/