Ufafanuzi wa ombea katika Kiswahili

ombea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~wa

  • 1

    omba kitu kwa niaba ya mwingine.

    ‘Namwombea ruhusa ya kusafiri kesho’

Matamshi

ombea

/ɔmbɛja/