Ufafanuzi wa ombi katika Kiswahili

ombi

nominoPlural mombi

  • 1

    neno au maelezo ya kutaka kupewa kitu au jambo kutoka kwa mwenye nacho.

Matamshi

ombi

/ɔmbi/