Ufafanuzi wa ombojea katika Kiswahili

ombojea

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

  • 1

    lainika au kuwa teketeke kwa sababu ya kuiva sana.

Matamshi

ombojea

/ɔmbɔʄɛja/