Ufafanuzi wa omeka katika Kiswahili

omeka

kitenzi elekezi

  • 1

    weka kitu juu ya kingine kwa kukipachika.

  • 2

    shindilia, jaza

Matamshi

omeka

/ɔmɛka/