Ufafanuzi wa ondoka katika Kiswahili

ondoka

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    enda sehemu tofauti na uliyokuwepo.

    ‘Nitaondoka kwenda mjini baadaye’
    enda, juka

Matamshi

ondoka

/ɔndɔka/