Ufafanuzi wa ondokea katika Kiswahili

ondokea

intransitive verb

 • 1

  pata nafuu baada ya kuwa mgonjwa; pata ahueni.

 • 2

  kua kimo au tabia kwa mtoto mdogo.

  inukia

 • 3

  tokea kuwa.