Ufafanuzi wa ondoleo katika Kiswahili

ondoleo

nominoPlural mondoleo

Kidini
  • 1

    Kidini
    kitu kinachotolewa ili kile kilichoko kisiwepo.

    ‘Hili ni ondoleo la dhambi’

Matamshi

ondoleo

/ɔndɔlɛwɔ/