Ufafanuzi wa onevu katika Kiswahili

onevu

kivumishi

  • 1

    -enye kuonea; -enye kudhulumu.

  • 2

    -a kuona; -enye kuona.

Matamshi

onevu

/onɛvu/