Ufafanuzi msingi wa ongea katika Kiswahili

: ongea1ongea2

ongea1

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~lesha, ~za

  • 1

    shiriki katika mazungumzo au maongezi.

    zungumza, longa, sema, sogoa

Matamshi

ongea

/ɔngɛja/

Ufafanuzi msingi wa ongea katika Kiswahili

: ongea1ongea2

ongea2

kitenzi sielekezi~lea, ~leka, ~lesha, ~za

  • 1

    kuwa zaidi.

    zidi

Matamshi

ongea

/ɔngɛja/