Ufafanuzi wa ongonga katika Kiswahili

ongonga

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    sababisha kutapika; fanya kuwa na kigegezi.

Matamshi

ongonga

/ɔngɔnga/