Ufafanuzi wa ongopea katika Kiswahili

ongopea

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~sha, ~wa

  • 1

    ambia mtu uongo.

Matamshi

ongopea

/ɔngɔpɛja/