Ufafanuzi wa ongozana katika Kiswahili

ongozana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    enda pamoja; kuwa pamoja njiani.

    fuatana

  • 2

    peana maelekezo katika kutenda mambo.

Matamshi

ongozana

/ɔngɔzana/