Ufafanuzi wa onya katika Kiswahili

onya

kitenzi elekezi

  • 1

    hadharisha kwa kuonyesha hatari itakayotokea.

    tahadharisha

  • 2

    elekeza kwa maneno.

    asa, gunga, haza, rudi, kanya

Matamshi

onya

/ɔɲa/