Ufafanuzi wa onyo katika Kiswahili

onyo

nomino

  • 1

    neno au maelezo ya kutahadharisha mtu ili asifanye jambo ambalo hatimaye litamdhuru.

Matamshi

onyo

/ɔɲɔ/