Ufafanuzi wa opoa katika Kiswahili

opoa

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa, ~sha

  • 1

    toa kitu kilicho ndani ya kitu cha majimaji.

    ‘Opoa chinyango katika mchuzi’

  • 2

    toa katika hali ya ugonjwa kwa kufanyia dawa.

    gangua, agua, topoa

Matamshi

opoa

/ɔpɔwa/