Ufafanuzi wa osha katika Kiswahili

osha

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    safisha kwa maji.

Matamshi

osha

/ɔ∫a/