Ufafanuzi wa otomatiki katika Kiswahili

otomatiki

kivumishi

  • 1

    -enye kufanya kazi -enyewe au -a kujiendesha bila udhibiti wa mtu au na uangalizi mdogo.

Asili

Kng

Matamshi

otomatiki

/ɔtɔmatiki/