Ufafanuzi wa ovari katika Kiswahili

ovari

nominoPlural ovari

  • 1

    sehemu ya kiungo cha uzazi cha mwanamke yanapozalishwa mayai.

  • 2

    sehemu katika mmea inayohusika na utoaji wa mbegu.

Asili

Kng

Matamshi

ovari

/ɔvari/