Ufafanuzi wa oveni katika Kiswahili

oveni

nominoPlural oveni

  • 1

    sehemu ya jiko la umeme au gesi, lenye mlango kwa mbele, linalotumiwa kuokea k.v. keki au mkate au kupasha moto vyakula.

Asili

Kng

Matamshi

oveni

/ɔvɛni/