Ufafanuzi wa ovodha katika Kiswahili

ovodha

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    ogelea juu ya maji kwa makusudi ya kulinda mtambo wa juya.

Matamshi

ovodha

/ɔvɔða/