kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~isha, ~za, ~liana, ~lisha, ~liwa
- 1
ondoa magamba ya samaki kwa kuparuza kwa kitu k.v. kisu au kijiti.
- 2
kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~isha, ~za, ~liana, ~lisha, ~liwa
- 1
enda angani; enda juu.
‘Ndege imepaa taratibu’rufai
kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~isha, ~za, ~liana, ~lisha, ~liwa
- 1
chukua baadhi ya makaa ya moto kutoka mekoni.
‘Umekuwa pweza, wajipalia makaa’
kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~isha, ~za, ~liana, ~lisha, ~liwa
- 1
nominoPlural paa, Plural mapaa
- 1
mnyama wa porini anayefanana na mbuzi, mwembamba na mdogo, mwenye rangi ya kijivu na hudhurungi mgongoni, nyeupe tumboni, pembe ndefu kiasi na mkia wa kahawia na weupe nchani.
nominoPlural paa, Plural mapaa
- 1
sehemu ya juu inayofunika nyumba.