Ufafanuzi wa pachipachi katika Kiswahili

pachipachi

nominoPlural pachipachi

  • 1

    sehemu iliyoko katikati ya vitu viwili na kwa ndani.

    ‘Ameificha kwenye pachipachi ya mapaja’

Matamshi

pachipachi

/patʃipatʃi/