Ufafanuzi wa padri katika Kiswahili

padri

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    kiongozi wa kidini katika madhehebu ya Kikatoliki na Kianglikana.

    kasisi, mchungaji

Asili

Kre

Matamshi

padri

/padri/